MFAHAMU MNYAMA KAKA KUONA

 MFAHAMU KAKA KUONA /PANGOLIN ni jina maarufu la mnyama ambaye kwa kimombo anajulikana kama (pangolin )au (scaly anteater).Jina kaka kuona linatokana na uhadimu wake wa kutokuonekana kwa imani huchukuliwa kwamba kuonekana kwake ni bahati kwa namna moja au nyingine .Kaka kuona huonekana kwa adimu hii ni kutokana na maumbile yake ambayo hufanana na sehemu ambazo hupenda kuishi.kwa mfano hupenda kukaa kwenye miti yenye magome yenye kufanana na magamba yake hiyo humfanya kutamblika kwake kuwa kwa adimu kumtambua.kaka kuona amekuwa mnyama maarufu sana katika nchi za Asia ambapo hutumiwa kama kitoweo, dawa,urembo,ambapo dawa maarufu ambayo hutoka kwake ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume(manspower) amekuwa mnyama ambaye ni dili sana kwa nnchi hizo hivi karibuni wamekamatwa watu katika nchi ya burundi wakiwa wakisafirisha mifuko iliyojaa magamba ya kaka kuona yenye thamani ya 1.4billion.kaka kuona pia hupatikana kwenye misitu ya mvua yaani rain forest kwa mfano kaka kuona aina ya kaka kuona mwenye mkia mrefu (long -tailed pangolin) hupenda kukaa kwenye misitu minene yenye miti mirefu.hupatikana misitu ya KILIMANJARO.MLIMA KENYA MLIMA.aina nyingine ni (giant pangolin)ambaye hupendelea sehemu zilizo wazi ambamo huchimba vishimo vidogo.kaka kuona pia ni wanyama ambao ni wazuri kwa kuogelea na ni wapandaji wazuri kutokana na mkia mzuri wenye kuweza kusaidia wakati wa kupanda juu.kaka kuona yupo imara zaidi wakati wa usiku.na humchukua siku 65 mpaka 139 wakati wa kubeba mimba muda wa kaka kuona wa kuishi hautambuliki lakini aina ya( indian pangolini huishi mpaka miaka 19)

 

 PANGOLIN is famous name is also called scaly anteater, any of seven species of mammals characterized by a body covering of pointed overlapping scales instead of fur. Pangolins are native to China, India, Malaysia, Indonesia, and Africa. Sharp rakelike front claws are used to gather food and dig burrows. The scales are yellowish to dark brown in color. They are made from fused hair and attach to the skin at their bases. Scales are absent from the underbelly, which is sparsely covered with hair. For protection while sleeping or when frightened, the pangolin rolls into a tight ball and raises its scales. A female will also roll up around her young. This behavior gives the pangolin its name, which comes from the Malay peng-goling, meaning “the roller.” The long-tailed pangolin and the tree pangolin are arboreal and live in the canopy of rain forests in West Africa. Others, like the giant pangolin, are terrestrial and prefer an open habitat where they dig burrows. When on the ground pangolins are mostly bipedal, walking on their hind legs with the head and body parallel to the ground and counterbalanced by the tail. All pangolins are good swimmers and agile climbers because of the prehensile tail. Natural enemies of the pangolin include pythons, leopards, lions, tigers, and humans. The pangolin is toothless and eats only ants and termites. It has a long, thin, sticky tongue, which can extend more than 30 cm (12 in) from the mouth. The pangolin inserts its tongue into ant or termite tunnels and withdraws it. Most pangolins are active at night, although a few species are seen during the day. Pangolins live alone or in pairs. Mating occurs in late summer and early autumn. Gestation ranges from 65 days to 139 days, depending on the species. Usually one young, with soft scales, is born at a time. The pangolin’s lifespan in the wild is not known, but an Indian pangolin lived for 19 years in 

 


 


 

Comments

Popular posts from this blog

CAN I CLIMB MOUNT KILIMNARO WITH MY KIDS?

THE BASIC SWAHILI WORDS TO KNOW WHEN YOU VISIT TANZANIA.

HOW MUCH IS THE COST OF KILIMANJARO